Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali
Davis Mwamunyange (kulia) akiwa na Mkuu wa Jeshi la Anga la Zimbabwe
luteni Jenerali (Air Martial) Penance Shiri, alipotembelea Makao Makuu
ya JWTZ Upanga Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Octoba 2016, wakati wa
ziara ya kikazi nchini.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali
Davis Mwamunyange (watatu kushoto), akiwa na Mkuu wa Jeshi la Anga la
Zimbabwe luteni Jenerali (Air Martial) Penance Shiri (wapili kushoto),
alipotembelea Makao Makuu ya JWTZ Upanga Jijini Dar es Salaam leo
tarehe 12 Octoba 2016, wakati wa ziara ya
0 maoni:
Chapisha Maoni