Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri wa
Biashara kutoka Jamhuri ya Watu wa China Qian Keming aliyefika Ikulu
pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa
nchini Dkt. Lu youqing Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Naibu
Waziri wa Biashara kutoka Jamhuri ya Watu wa China Qian Keming .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa
Benki ya EXIM ya China Sun Ping ambaye aliambatana na Naibu Waziri wa
Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China Qian Keming, pamoja na Balozi wa
China hapa nchini Dkt. Lu youqing.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Naibu
Waziri wa Biashara kutoka Jamhuri ya Watu wa China Qian Keming watatu
kutoka kulia aliyefika Ikulu pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya
mazungumzo. Wengine katika picha ni Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.
Philip Mpango wakwanza (kushoto) Makamu wa Rais wa Benki ya EXIM ya
China Sun Ping wapili kutoka (kushoto) Balozi wa China hapa nchini Dkt.
Dkt. Lu youqing watatu kutoka (kushoto),Pamoja na Waziri wa Viwanda
Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage wapili kutoka kulia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Naibu Waziri wa Biashara
kutoka Jamhuri ya Watu wa China Qian Keming mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Balozi wa China
hapa nchini Dkt. Lu youqing mara baada ya kumaliza mazungumzo ya pamoja
na ujumbe wa Naibu Waziri wa Biashara kutoka Jamhuri ya Watu wa Jamhuri
ya China uliofika Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
0 maoni:
Chapisha Maoni