Posted by Esta Malibiche on Oct6.2016 in NEWS
Rais
wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC, Deo Nsokolo,
akifungua Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Klabu za Waandishi wa Habari
nchini UTPC unaofanyika Jijini Mwanza kwa siku mbili, kuanzia leo Oktoba
06,2016.
Mkutano huo unajadili masuala mbalimbali ikiwemo Mpango Mkakati wa UTPC kwa mwaka 2016/20 uliofadhiriwa na Shirika la Sida.
Na BMG
Viongozi
wa UTPC wakiwa kwenye mkutano huo ambapo kutoka kulia ni Mkurugenzi wa
UTPC, Abubakar Karsan, Rais wa UTPC, Deo Nsokolo, Makamu wa Rais wa
UTPC, Jane Mihanji na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili UTPC
Wajumbe wa bodi, UTPC, wakiwa kwenye mkutano huo
Mwenyekiti
wa Mara Press Club, Mugini Jacob (kulia) akiwa na wajumbe wengine
kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa
Habari nchini UTPC
Mwenyekiti
wa Mara Press Club, Mugini Jacob (kushoto) akiwa na wajumbe wengine
kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa
Habari nchini UTPC
Wajumbe mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC
Mweka Hazina Mara Press Club akichangia jambo kwenye mkutano huo
Wajumbe mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC
Wajumbe mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC
Wajumbe mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC
Wajumbe mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC
Wajumbe mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC
Mwenyekiti wa Mara Press Club, Mugini Jacob (kulia) akisalimiana na Rais wa UTPC, Deo Nsokolo (kushoto) kwenye mkutano huo
Mwenyekiti
wa Mara Press Club, Mugini Jacob (kulia) akisalimiana na Makamu wa Rais
wa UTPC, Jane Mihanji (kushoto) kwenye mkutano huo
Mwenyekiti
wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoani Shinyanga, Kadama Malunde
(kulia) akisalimiana na Rais wa UTPC, Deo Nsokolo (kushoto).
*****************************************x
Waandishi
wa Habari nchini wametakiwa kuusoma na kuuelewa vyema mswada sheria ya
huduma ya vyombo vya habari 2016, uliowasilishwa na Serikali bungeni
mjini Dodoma, kwa ajili ya kutoa maoni yao juu ya mswada huo.
Rais
wa Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari nchini UTPC, Deo Nsokolo,
ameyasema hayo kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Muungano huo,
unaofanyika kwa siku mbili Jijini Mwanza kuanzia leo.
Nsokolo
amesema tayari kamati ya bunge imekwisha kabidhiwa mswada huo kwa ajili
ya kukusanya maon hivyo ni vyema waandishi wa habari ambao wanaguswa
moja kwa moja na mswada huo, wakausoma kiundani na kisha kutoa maoni yao
kabla ya kuwasilishwa bungeni ili kuidhinishwa.
Akiwasilisha
mswada huo katika bunge lililopita, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa
na Michezo, Nape Nnauye, alisema ikiwa mswada huo utapitishwa na bunge
kuwa sheria, utasaidia kuleta mageuzi makubwa ya kitaaluma kwa
wanahabari pamoja na huduma za vyombo vya habari nchini.
0 maoni:
Chapisha Maoni