Posted by Esta Malibiche on Oct4.2016 in NEWS
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na wageni waliohudhuria
Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini iliyoadhimishwa jana jijini Dar
es Salaam.
Wageni waalikwa waliohudhuria
Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini wakimsikiliza Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa katika hafla hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia, na Balozi wa Serikali ya
Jamhuri ya Korea Kusini Bw. Song, Geum-young (katikati), wakikata keki
kama ishara ya kujenga mahusiano mema baina ya nchi hizo mbili katika
Sherehe ya Siku ya Watu wa Korea Kusini iliyoadhimishwa jana jijini Dar
es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akigonga glasi (cheers) na Balozi wa
Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini Bw. Song, Geum-young kama ishara ya
kujenga mahusiano mema baina ya nchi hizo mbili katika Sherehe ya Siku
ya Watu wa Korea Kusini iliyoadhimishwa jana jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumz na wageni waalikwa katika hafla hiyo.
0 maoni:
Chapisha Maoni