Posted by Esta Malibiche on Oct4.2016 in BIASHARA
Kaimu Meneja huduma kwa wateja na Elimu kwa Umma Ndugu Jemsi Ndege akitoa elimu kwa wajasilimali na wananchi waliofika katika banda la Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA)Katika maonesho ya wajasilimali Kanda ya Nyanda za Juu Kusini yaliyoandaliwa na SIDO katika viwanja vya bustani ya jiji la Mbeya. |
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika Maonesho ya wajasilimali Kanda ya Nyanda za juu kusini katika viwanja vya busatni ya jiji la Mbeya wakiwa katika banda la Mamlaka ya Chakula na Dawa( TFDA) |
0 maoni:
Chapisha Maoni