Posted by Esta Malibiche on Oct4.2016 in NEWS
Naibu Katibu Mkuu wa Wazazi Taifa
Najma Mwita Giga akizungumza na viongozi wa CCM mkoa Magharibi Kichama
baada ya kuzindua Ofisi ya Jumuiya ya Wazazi Mkoa Magharibi, Mwera.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya
Wazazi Taifa Najma Mwita Giga akizungumza na viongozi wa CCM na Jumuiya
ya Wazazi baada ya kuzindua Ofisi ya Jumuiya hiyo Mkoa Magharibi Mwera.
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya
Wazazi Taifa Najma Mwita Giga akimkabidhi Komputer na Printer Katibu
Mkuu wa Wazazi wa Mkoa wa Magharibi kichama Mohd Abdi baada ya kuzindua
Ofisi ya Jumuiya hiyo huko Mwera.
Viongozi waliohudhuria hafla hiyo
wakifuatilia hotuba ya Naibu Katibu Mkuu wa Wazazi Najma Mwita Giga
wakati wa uzinduzi wa Ofisi ya Jumuiya hiyo mkoa wa Magharibi.
Picha na Salmin Said Nasor/Maelezo Zanzibar.
0 maoni:
Chapisha Maoni