Posted by Esta Malibiche on Oct4.2016 in Teknolojia
PICHA NA IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake wakitoka katika
mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph
kabila na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Mawaziri wa Nishati wa Tanzania
na DRC wakitia saini mkataba wa makubaliano ya pamoja (MOU) wa
utafutaji na uendelezaji wa mafuta katika eneo la upande wa magharibi
mwa afrika Mashariki hususan katika ziwa Tanganyika
Mawaziri wa Nishati wa Tanzania
na DRC wakibadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkataba wa
makubaliano ya pamoja (MOU) wa utafutaji na uendelezaji wa mafuta
katika eneo la upande wa magharibi mwa afrika Mashariki hususan katika
ziwa Tanganyika
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Wajumbe wakimpigia makofi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila wakati akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea Ikulu jijini Dar es salaam leo |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea Ikulu jijini Dar es salaam leo
Wajumbe wakimpigia makofi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea Ikulu jijini Dar es salaam leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake wakitoka katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila na ujumbe wake katika picha ya pamoja Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila na ujumbe wake katika picha ya pamoja na baadhi ya wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016 |
0 maoni:
Chapisha Maoni