Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), Rais Mstaafu awamu ya pili,
Ali Hassan Mwinyi wakiwapungia waumini wa Jumuiya ya Waislamu wa
Ahmadiyya (hawapo pichani) wakati walipokuwa wanawasili katika Ukumbi wa
Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha Kitonga, Kata ya
Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Masaunia ambaye alikuwa mgeni
maalum katika mkutano huo wa 47 wa jumuiya hiyo nchini, aliitaka Jumuiya
hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi kubwa
ya kupambana na maovu katika jamii kwa kuwapatia waumini wao elimu na
maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao kiroho. Kulia ni Kiongozi Mkuu
wa Jumuiya hiyo nchini, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry. Picha zote na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na waumini wa Jumuiya ya
Waislamu wa Ahmadiyya katika Mkutano wa 47 wa jumuiya hiyo nchini
unaofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji
cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Rais Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, anayefuata ni Kiongozi
Mkuu wa Jumuiya hiyo nchini, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry. Masauni
katika hotuba yake aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za
kidini nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii
kwa kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili
yao kiroho. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia meza kuu) akimsikiliza Rais
Mstaafu awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi wakati alipokuwa anatoa hotuba
yake katika Mkutano wa 47 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya
unaofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji
cha Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Kiongozi Mkuu wa Jumuiya hiyo nchini, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry.
Masauni ambaye aliiwakilisha Serikali katika Mkutano huo, katika hotuba
yake aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini
kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na maovu katika jamii kwa kuwapatia
waumini wao elimu na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao kiroho.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kushoto meza kuu) na Rais Mstaafu
awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi wakimsikiliza Kiongozi Mkuu wa Jumuiya
ya Waislamu wa Ahmadiyya nchini, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry wakati
alipokuwa anazungumza na waumini mbalimbali pamoja na wageni waalikwa
katika Mkutano wa 47 wa Jumuiya hiyo unaofanyika katika Ukumbi wa
Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha Kitonga, Kata ya Msongola,
Ilala, jijini Dar es Salaam. Masauni ambaye aliiwakilisha Serikali
katika Mkutano huo, katika hotuba yake aliitaka Jumuiya hiyo pamoja na
Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi kubwa ya kupambana na
maovu katika jamii kwa kuwapatia waumini wao elimu na maarifa ya
kuboresha tabia na maadili yao kiroho. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akipokea zawadi ya vitabu vya
dini kutoka kwa Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya
nchini, Sheikh Tahir Mahmood Chaudhry wakati Naibu Waziri huyo
alipomaliza kuufungua Mkutano wa Jumuiya hiyo wa 47 unaoendelea
kufanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha
Kitonga, Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Masauni ambaye
aliiwakilisha Serikali katika Mkutano huo, katika hotuba yake aliitaka
Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi
kubwa ya kupambana na maovu katika jamii kwa kuwapatia waumini wao elimu
na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao kiroho. Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
Sehemu ya Waumini wa Jumuiya ya
Waislamu wa Ahmadiyya nchini wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani) wakati alipokuwa
anatoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa 47 wa Jumuiya hiyo unaofanyika
katika Ukumbi wa Mkutano wa Jumuiya hiyo, uliopo Kitongoji cha Kitonga,
Kata ya Msongola, Ilala, jijini Dar es Salaam. Masauni ambaye
aliiwakilisha Serikali katika Mkutano huo, katika hotuba yake aliitaka
Jumuiya hiyo pamoja na Taasisi zingine za kidini nchini kuendeleza kazi
kubwa ya kupambana na maovu katika jamii kwa kuwapatia waumini wao elimu
na maarifa ya kuboresha tabia na maadili yao kiroho. Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
0 maoni:
Chapisha Maoni