Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya
Manunuzi ya Umma (PPRA), Balozi DKT. Matern Lumbanga (kushoto), akitoa
taarifa aya ripoti hiyo mbele ya waandishi wa Habari (Hawapo Pichani)
kwenye makao Makuu ya Mamlaka hayo, Jijini Dar es salaam, Septemba 30,
2016. Kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Dkt. Laurent Shirima
Waziri
wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, akizungumza baada ya
akukabidhiwa nakala za Ripoti ya ukaguzi kwenye Manunuzi ya Umma kwa
mwaka wa Fedha 2015/2016 na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Manunuzi ya
Umma (PPRA), Balozi DKT. Matern Lumbanga (Kulia). Makabidhiano
yamefanyika Wizarani Jijini Dar es Salaam, Septemba 30, 2016
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya
Manunuzi ya Umma (PPRA), Balozi DKT. Matern Lumbanga (kushoto), akitoa
taarifa aya ripoti hiyo mbele ya waandishi wa Habari (Hawapo Pichani)
kwenye makao Makuu ya Mamlaka hayo, Jijini Dar es salaam, Septemba 30,
2016. Kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Dkt. Laurent Shirima
na kushoto kwake ni Wajumbe wa Bodi hiyo Dkt. Leonard Chamriho ambaye ni
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi) na
Dkt. Edmund Mndolwa.
(Picha zote na Wizara ya Fedha na Mipango)
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.
Philip Mpango, akikabidhiwa Ripoti ya ukaguzi kwenye Manunuzi ya Umma
kwa mwaka wa Fedha 2015/2016 na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya
Manunuzi ya Umma (PPRA), Balozi DKT. Matern Lumbanga. Makabidhiano
yaliyofanyika Wizarani jijini Dar es Salaam, Septemba 30, 2016
Wajumbe
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Manunuzi ya Umma (PPRA),
wakimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango baada ya
kupokea Ripoti ya Ukaguzi wa Manunuzi ya Umma kwa mwaka wa fedha
2015/2016. Waziri Mpango aliwataka kufanya kazi kwa bidii ili kuendana
na kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano katika kukuza uchumi na kufikia
uchumi wa kati ifikapo 2025 kwa kudhibiti matumizi mabaya ya fedha za
umma.
0 maoni:
Chapisha Maoni