Posted by Esta Malibiche on Oct4.2016 in SIASA
Makamu wa Rais wa Cuba Salvador
Antonio Valdes Mesa kushoto akioneshwa jambo na Waziri wa Afya Zanzibar
Mahmoud Thabit Kombo kulia wakati akifanya matembezi katika mji Mkongwe
wa Zanzibar,kabla ya kuondoka leo na kurejea nyumbani.
Makamu wa Rais wa Cuba Salvador
Antonio Valdes Mesa katikati akipita katika baadhi ya maeneo ya mji
Mkongwe wa Zanzibar kabla ya kuondoka leo na kurejea nyumbani.
Makamu wa Rais wa Cuba Salvador
Antonio Valdes Mesa katikati akipata maelezo kutoka kwa Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Dk, Amina Ameri
kulia wakati akitembelea maeneo ya mji Mkongwe wa Zanzibar kabla ya
kuondoka leo na kurejea nyumbani.
Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kushoto akiwa pamoja na Makamu wa Rais wa
Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa wakikagua Gwaride rasmi katika Uwanja
wa Ndege wa Zanzibar kabla ya kuondoka leo na kurejea nyumbani.
Ndege iliompakia Makamu wa Rais
wa Cuba Salvador Antonio Valdes Mesa ikiacha aridhi na kuingia
mawinguni baada ya kumaliza Ziara ya kikazi ya Siku moja Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
0 maoni:
Chapisha Maoni