Jumanne, 6 Septemba 2016

MKURUGENZI WA WILAYA YA KONDOA MKOANI DODOMA FALESY KIBASA APOKEA RIPOTI YA AWALI KUTOKA SHIRIKA LA SIKIKA

Posted by Esta Malibiche on Sept 6.2016 in News with No comment

 Mkurugenzi wa wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma akizungumza na maofisa wa shirika la SIKIKA ofisini kwake leo hii


 Mzangumzo yakiendelea baina ya mkurugenzi wa Kondoa na maofisa wa SIKAKA
Mwenyekiti  wa timu ya SAM kondoa,ambae pia ni Mwenyekiti wa bodi ya Afya wilaya  Mohamed Thawa akimkabidhi mkurugenzi wa wilaya ya kondoa Falesy Kibasa Ripoti ya utafiti.






 Mkurugenzi wa wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma Falesy Kibasa amepokea ripoti ya awali kutoka shirika lisilo la kiserikali la SIKIKA linalofanya uchunguzi kujua kama sekta ya Afya inatumia vema fedha za Serikali  katika kutoa huduma za Afya nchini
Mkuu wa Program ya SIKIKAwilaya ya kondoa  Alice Monyo akimkabidhi Mkurugenzi Ripoti ya utafiti

0 maoni:

Chapisha Maoni