Jumanne, 19 Aprili 2016

WAZIRI MKUU KASIM MAJALIWA AKIPOKELEWA NA VIONGOZI WA MKOA WA DODOMA JANA UWANJA WA NDEGE ALIPOWASILI TAYARI KWA KIKAO CHA BUNGE LEO

ULI1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana  (kulia) , Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega (Wapili kushoto) na Mbunge wa  Nachingwea, Hassan Masala baada ya kuwasili kwenye uwanja w ndege wa Dodoma kuhudhuria kikao cha Bunge kinachotarajiw kuanza Arili 19, 2016.. Watatu kulia  Mbunge wa Bunge  la Afrika ya Mashariki Adam Kimbisa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
ULI2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana  (kulia) , Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega (Wapili kushoto) na Mbunge wa  Nachingwea, Hassan Masala baada ya kuwasili kwenye uwanja w ndege wa Dodoma kuhudhuria kikao cha Bunge kinachotarajiw kuanza Aprili 19, 2016.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:

Chapisha Maoni