Meneja
Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni Mhandisi Karim Mataka
akizungumza na waandishi wa habari wakati walipotembelea katika mradi wa
daraja la Kigamboni akiwaelezea waandishi wa habari mambo mbalimbali
na changamoto zilizokuwa zinawakabili wakati wa ujenzi wa daraja hilo
mpaka kukamilika kwake.
Injinia JAMAL MRUMA mhandisi wa
mradi daraja la Kigamboni kutoka kampuni ya CREJ ya China akiwaelezea
waandishi wa habari mambo mbalimbali na changamoto zilizokuwa
zinawakabili wakati wa ujenzi wa daraja hilo mpaka kukamilika kwake.
Daraja la Kigamboni linavyoonekana usiku.
Daraja la Kigamboni linavyoonekana mchana.
Makutano ya barabara za kutoka na kuingia katika daraja la Kigamboni yanavyoonekana.
0 maoni:
Chapisha Maoni