Jumanne, 26 Aprili 2016

DK.SHEIN AHUDHURIA MAZISHI YA MAREHEMU ABDALLA MOHAMD MSHINDO(M\KITI CCM)


KU1

Maelfu ya wananchi na waislamu waliobeba jeneza la Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo katika mazishi yake yaliyofanyika leo kijiji cha Kihinani Wilaya ya Magharibi ‘A’Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
KU2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto)akitia udongo katika kaburi la Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo   aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba  katika mazishi yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi ‘A’,Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
KU3
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Issa Haji Ussi (Gavu) akitia udongo katika kaburi la Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo   aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba  katika mazishi yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi ‘A’ Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
KU4
Mwenyekiti wa CCM MKoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Haji Juma Haji akitia udongo katika kaburi la Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo   aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba  katika mazishi yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi ‘A’ Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
KU5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Sif Ali Iddi(katikati)pamoja na wananchi na wanaCCM wakiitkiia dua iliyoombwa baada ya mazishi ya Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo   aliyekuwa wenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba  yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi ‘A’ Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
KU6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiwapa pole familia ya Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo   aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba  kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi’A’ Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
KU7
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Sif Ali Iddi(katikati)pamoja na wananchi na wanaCCM wakiswali katika baada ya mazishi ya Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo   aliyekuwa wenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba  yaliyofanyika leo Kihinani Wilaya ya Magharibi ‘A’ Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]

0 maoni:

Chapisha Maoni