Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Mjini Kichama Borafya Silima mara alipowasili katika viwanja vya
Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja kuhudhuria katika kikao cha
siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar leo, Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM
ZanzibarVuai Ali Vuai (kulia) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Balozi Seif Ali Iddi wakiwa katika
kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Mjini Unguja.
Baadhi
ya wajumbe wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu
ya CCM Zanzibar wakipiga makofi ka kuimba wimbo wa Chama cha Mapinduzi
wakati Mwenyekiti wa kikao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein alipoingia katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja kilimofanyika leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao cha siku moja cha
Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo
katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja, Baadhi
ya wajumbe wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu
ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo, katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Mjini Unguja wakipitia agenda kabla ya kuanza kwa kikao hicho katika
ukumbi wa mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Wajumbe
wa Sekretarieti ya Halamashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakisikiliza kwa
makini michango mbali mbali iliyotolewa katika kikao cha siku moja cha
Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo
katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
Baadhi ya wajumbe wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya
Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein akifungua kikao hicho kilichofanyika leo katika
ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja,
[Picha na Ikulu.]
0 maoni:
Chapisha Maoni