Jumapili, 24 Aprili 2016

UZINDUZI WA KUNDI LA VIJANA WA CCM ‘G1 MAPINDUZI KWANZA

 Naibu Waziri wa Mambo  ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni
Yussuf Masauni alipokuwa akizindua Group la G1  Mapinduzi Kwanza ambalo
linakusanya Vijana wa CCM pamoja na Viongozi mbali mbali ,uzinduzi huo
umefanyika leo katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa,wengine (kulia) ni
Mwenyekiti wa Group Abdalla Maulid Diwani Mwakilishi wa Jimbo la
Jangombe,(kushoto)
Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd Bw.Brian Thomson na Bi Naila Jidawi,
Baadhi ya waalikwa na wanachama wa Kundi la G1 Mapinduzi Kwanza wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo  ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni (hayupi pichani) akizungumza wa katika sherehe ya uzinduzi wa Droup G1 uliofanyika leo katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa,
 Baadhi ya waalikwa na wanachama wa Kundi la G1 Mapinduzi Kwanza wakiwa katika sherehe ya uzinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa,mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Mambo  ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni
    Baadhi ya waalikwa na wanachama wa Kundi la G1 Mapinduzi Kwanza wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo  ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni (hayupi pichani) akizungumza wa katika sherehe ya uzinduzi wa Droup G1 uliofanyika leo katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa
 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Mhe,Borafya Silima akitoa shukurani wa
Kundi la G1 Mapinduzi Kwanza wakati wa uzinduzi uliofanyika leo katika
ukumbi wa
Maruhubi Beach Villa,
 Naibu Waziri wa Mambo  ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM)
Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni akimkabidhi Mdeli wa kahawa
ulitengenezwa kwa Shaba Nd,Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Abdulkhafar
Idrissa alioununua kwa njia ya mnada wa kuchangia kundi kiasi ya
shilingi za kitanznia Millioni Tano,wakati wa Uzinduzi wa Group la G1
Mapinduzi Kwanza katika ukumbi wa
Maruhubi Beach Villa leo,
Mshika fedha wa Group la G1 Zubeda Khamis Shaib akipokea cheki ya Shillingi
Millioni Mbili za Kitanzania kutoka kwa Mzee Haji Nyanya wakati wa
kuchangia Group hilo sambamba na   sherehe za
Uzinduzi wa uliofanywa na Naibu Waziri wa Mambo  ya Nchi pia Mwakilishi wa Jimbo la kikwajuni (CCM) Mhe,Hamad Masauni Yussuf Masauni (hayupi pichani)katika ukumbi wa Maruhubi Beach Villa leo,
 
[Picha na Mpiga picha wetu.]

0 maoni:

Chapisha Maoni