Katibu
Mkuu wa Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro (kushoto)
akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) kufungua mkutano
maalum wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika
katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Dkt.
Ndumbaro ni Mwenyekiti wa Baraza hilo.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akifungua mkutano maalum wa Baraza
la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (Mstari wa mbele katikati ) akiwa katika
picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya
Rais-Utumishi uliofanyika katika Ukumbi wa Tume ya Haki za Binadamu na
Utawala Bora.
Picha na mpiga picha wetu
0 maoni:
Chapisha Maoni