Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wenyeviti, Makatibu wa
Chama cha Mapinduzi wa mikoa na Wilaya za Tanzania bara na Visiwani
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wenyeviti wa CCM wa
Mikoa mbalimbali wakipiga makofi kumshangilia Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitoa hotuba yake
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wenyeviti wa CCM wa
Mikoa mbalimbali wakipiga makofi kumshangilia Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akitoa hotuba yake
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza kwa makini taarifa
zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya Wenyeviti na Makatibu wa CCM kutoka
mikoa mbalimbali nchini. Kulia kwake ni makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan, Makamu Mwenyekiti CCM Taifa Philip Mangula na Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa
wa Mtwara Mohamed Sinani Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mwenyekiti wa CCM
mkoa wa Lindi Mzee Ally Mtopa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono baadhi ya viongozi
wa Chama cha Mapinduzi CCM kutoka mikoa mbalimbali nchini mara baada ya
kumaliza kuzungumza nao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
0 maoni:
Chapisha Maoni