Mwenyekiti wa Chama cha
Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu Tanzania (TAPIE) ambaye pia ni
Mmilikiwa Shule ya Tusiime Bw. Albert Katagira akizungumza wakati wa
uzinduzi na mkutano wa kwanza wa chama hicho jana jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Katibu wa Chama hicho Bw.Kachwamba Ansar na wapili kulia ni
Makamu Mwenyekiti Bw.Johson Ishengoma.
Mwanachama wa Chama cha
Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu (TAPIE) ambaye pia ni mmiliki
wa Shule ya Awali na Msingi ya Fortune iliyopo Tabata Kinyerezi Bw.Hope
Kaiza akichangia hoja wakati wa uzinduzi na mkutano wa kwanza wa chama
hicho jana jijini Dar es Salaam.
Mwanachama wa Chama cha
Wawekezaji Binafsi katika Sekta ya Elimu (TAPIE) Bw. Mahamoud Mringo
(aliyesimama) akifafanua jambo wakati wa uzinduzi na mkutano wa kwanza
wa chama hicho jana jijini Dar es Salaam.Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa
Chama hicho Bw. Albert Katagira na Makamu Mwenyekiti wake Bw. Johnson
Ishengoma.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha
Wawekezaji BinafsiBaadhi ya wanachama wa Chama cha Wawekezaji Binafsi
katika Sekta ya Elimu (TAPIE) wakifuatilia mada wakati wa uzinduzi wa
chama hicho jana jijini Dar es Salaam.
Picha na: Frank Shija,WHUSM
Picha na: Frank Shija,WHUSM
0 maoni:
Chapisha Maoni