Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akitoa hotuba katika
mkutano wa uzinduzi wa kitabu cha Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji
wa Miradi ya Uwekezaji katika sekta ya Umma kilichofanyika mjini Dodoma.
Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa kitabu cha Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi
ya Uwekezaji katika sekta ya Umma, kushoto ni Katibu tawala wa mkoa wa
Dodoma bibi. Rehema Madenge na kulia ni bi Anna Kimwela kutoka Tume ya
Mipango.
Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akionesha kitabu cha
Mwongozo wa Usimamizi na Utayarishaji wa Miradi ya Uwekezaji katika
sekta ya Umma (Public Investment Management Operational Manual), kulia
ni Kaimu katibu mtendaji wa Tume ya Mipango Bibi Florence Mwanri na
kushoto ni katibu tawala wa Mkoa wa Dodoma Bibi Rehema Madenge.
Kaimu naibu katibu mtendaji kutoka
Tume ya Mipango anayesimamia klasta ya uchumi jumla, dkt. Lorah Madete
akijibu hoja zilizotolewa na wajumbe katika kipindi cha majadiliano.
Moja ya wajumbe wa mkutano akichangia mada wakati wa mkutano.
0 maoni:
Chapisha Maoni