Makamu
wapiliwa Rais waSerikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. BaloziSeif
AliIddiakifunguakongamano la kujadili FursazaUwekezajikati ya Tanzania
na Urusi lililofanyika jana jijini Dar es salaam
ambalolimewakutanishawafanyabiasharambalimbaliwaMataifahayomawili
Waziri
waViwandaBiashara na Uwekezaji Mhe. Charles
Mwijageakifafanuakwawaandishiwahabari janaJijini Dar es salaam
kuhusufaidazaushirikianowakibiasharakati ya Tanzania na
Urusiutakaochangiamaendeleo katika sektazaKilimo,Usafirishaji na
Nishatihapanchini.
WaziriwaViwanda
na BiasharawaUrusi Mhe. Denis Manturovakizungumzakwenyekongamano la
kujadilifursazaUwekezajikati ya Tanzania naUrusilililofanyikaleoJijini
Dar es salaam.
Baadhi
ya washirikiwakongamano la kujadilifursazaUwekezajikati ya Tanzania na
urusiwakifuatiliamadawakatiwakongamanohiloleoJijini Dar es salaa.
MakamuwaPiliwa
Rais waSerikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. BaloziSeif AliIddi(kushoto)
akizungumzajambo na MwenyekitiwaTaasisi ya SektaBinafsi Tanzania Bw.
Reginald MengileoJijini Dar es salaam marabaada ya kufunguakongamano la
Uwekezajikati ya Tanzania na Urusi.
MakamuwaPiliwa
Rais waSerikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. BaloziSeif
AliIddi(wannekutokakushoto)akiwa na WawakilishiwaSerikali ya
Urusi,anayefuatani Waziri waViwanda na Biashara Mhe. Charles
Mwijageakifuatiwana WaziriwaViwandaBiashara na MasokowaSerikali ya
Mapinduzi Zanzibar Mhe. Amina Salum Ali.
Pichazote na (Fatma Salum- MAELEZO)
0 maoni:
Chapisha Maoni