Katibu
Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando, akizungumza wakati wa
hafla ya kumkabidhiwa Ofisi Mkuu wa Mkoa mpya wa Dar es Salaam, Paul
Makonda (wapili kushoto) na aliyekuwa mkuu wa mkoa huo, Saidi Mecky
Sadiki (watatu), jijini hivi karibuni. (Imeandaliwa na Kassim
Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya watendaji wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa katika hafla hiyo.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, akijitambulisha wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya Mofisa na Watendaji wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa katika hafla hiyo.
Mmoja wa Maofisa wa Wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam, akijitambulisha katika hafla hiyo.
Aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa
wa Kilimanjaro, akizungumza wakati wa hafla ya kumkabidhi ofisi mkuu wa
mkoa mpya wa Dar es Salaam, Paul Makonda (katikati) jijini hivi
karibuni.
Aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa
wa Kilimanjaro, akizungumza wakati wa hafla ya kumkabidhi ofisi mkuu wa
mkoa mpya wa Dar es Salaam, Paul Makonda (wapili kushoto) jijini hivi
karibuni. Kulia ni Wakuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema na wa Ilala,
Raymond Mushi. Kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando.
Aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa
wa Kilimanjaro, akizungumza katika hafla hiyo, ya kumkabidhi ofisi mkuu
wa mkoa mpya wa Dar es Salaam, Paul Makonda (kushoto). Kulia ni Mkuu wa
Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
Aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (kulia), ambaye sasa ni Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro, akimkabidhi rasmi vitendea kazi vya mkoa, Mkuu
mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akimkabidhi Katiba ya Chama
Cha Mapinduzi (CCM), Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Akimkabidhi Katiba ya Jamhuri ya Muungano.
Akimkabidhi nyaraka mbalimbali.
Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando, akisoma mambo mbalimbali anayopasa kukabidhiwa mkuu wa mkoa mpya.
Aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akisaini hati ya
makabidhiano. Kushoto ni Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul
Makonda.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akisaini hati ya makabidhiano. Kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando na katikati ni Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Aliyekuwa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akimkabidhi vitendea kazi
vyote Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, wakati
alipomkabidhi ofisi jijini hivi karibuni.
Mkuu
mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza wakati akitoa
shukurani zake na kuelezea mwelekeo wake wa kiutendaji kwenye mkoa huo,
mara baada ya kukabidhiwa ofisi rasmi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (wapili kushoto), jijini hivi karibuni.
Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akizungumza mara baada ya kukabidhiwa ofisi rasmi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (katikati), jijini hivi karibuni.
Mkurugenzi
Mtendaji wa benki ya DCB, Edmund Mkwawa (kushoto), akimkabidhi mfano wa
hundi ya sh. milioni 10, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Chanika jijini hivi
karibuni, wakati alipokabidhiwa ofisi rasmi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa
huo, Said Sadiki (hayupo pichani). Wapili kulia ni Kamanda wa Polisi wa
Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Siro.
Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akipiga picha ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa. Katikati ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki aliyemkabidhi rasmi ofisi hiyo.
Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akipiga picha ya pamoja na Watendaji wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akipiga picha ya pamoja na Watendaji wa Benki ya DCB.
Mkuu
mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akipiga picha ya pamoja na
Waandishi wa habari. Watatu kulia ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa blogu
hii ya bayana, Kassim Mbarouk.
Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akipiga picha ya pamoja na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.






0 maoni:
Chapisha Maoni