Mbunge wa Jimbo la Mkuranga
Abdalah ulega akifungua bomba la maji huku baadhi ya wananchi
wakishuhudia katika kata ya Mkamba kijiji cha Tungi katika hafla fupi ya
kukabidhi kisima cha Maji kilichochimbwa kwa ufadhiri wa Taasisi ya
kimarekani ya African Reflections Foundatioan wiki hii, katika picha
mwenye kofia anayeshuhudia ni Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi
kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections Foundatioan na
kushoto ni Diwani Kata ya Mkamba Bw.Dunga Hassan (Picha zote na Raphael
Malekela)
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga
Abdalah ulega akizungumza na baadhi ya wananchi wa kata ya Mkamba kijiji
cha Tungi katia hafla fupi ya kukabidhi kisima cha Maji kilichochimbwa
kwa ufadhiri wa Taasisi ya kimarekani ya African Reflectins Foundatioan,
kulia ni Mama Caren kutoka Taasisi ya African Reflectins Foundatioan na
kushoto ni Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi huo.
Mama Maryborne Pool Mtekelezaji
wa mradi kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections
Foundatioan akizungumza jambo huku Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mh.
Abdallah Ulega akifurahia wakati wa makabidhiano ya mradi wa maji
katika kijiji cha Tungi wilaya ya Mkuranga.
Mama Maryborne Pool Mtekelezaji
wa mradi kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections
Foundatioan na mama Caren kutoka taasisi hiyo pia wakikabidhi madawa ya
majikwa mbunge wa jimbo la Mkuranga Mh. Abdallah Ulega.
Mbunge wa mkutanga Mh. Abdallah
Uleha na Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi kutoka taaisi ya
Marekani kutoka African Reflections Foundatioan wakiimba pamoja na akina
mama wakati wa makabidhiano hayo.
Mbunge wa jimbo la Mkuranga
akisalimiana na wanakikiji ambao ni wapiga kura wake wakati alipowasili
katika kijiji cha Tungi Mkuranga.
Mbunge wa jimbo la Mkuranga akizungumza na akina mama wakati alipowasili kijijini hapo.
Akina mama mbalimbali wakiwa katika makabidhiano ya mradi huo.
Mama Caren kutoka taaisi ya
Marekani kutoka African Reflections Foundatioan akizungumza katika
makabidhiano hayo huku Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mh. Abdallah Ulega na
kushoto na Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi kutoka taaisi ya
Marekani kutoka African Reflections Foundatioan
0 maoni:
Chapisha Maoni