Jumanne, 19 Aprili 2016

MBUNGE RITA KABATI AAPISHWA RASMI LEO


Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa( Chadema )kulia akijiandaa kumkumbatia mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Bi Ritta Kabati (CCM) leo katika viwanja vya bunge mjini Dodoma baada ya Kabati kumaliza kuapishwa
mbunge wa jimbo la Kilolo Bw Venance Mwamoto ( Kushoto) na mbunge wa jimbo la Iringa mjini Chadema mchungaji Peter Msigwa wakimpongeza mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa CCM Ritta Kabati baada ya kuapishwa kuwa mbunge leo mjini Dodoma 
Mbunge mchungaji Peter Msigwa wa pili kulia akijiandaa kuwapa mkono mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Bi Ritta Kabati  kushoto ni mbunge wa Kilolo Bw Venance Mwamoto
Mbunge wa kilolo[ccm]Venas Mwamoto pamoja na Mbunge wa Iringa Mjini[cdm]PeterMsigwa wakimpongeza Rita Kabati baada ya kuapishwa Leo
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa ( Chadema) akimpongeza mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati ( CCM) leo mjini Dodoma
Mbunge Mchungaji Msigwa na mchungaji Kiwanga wakiongoza wageni wa Mbunge Ritta Kabati kwenda kumpongeza 

0 maoni:

Chapisha Maoni