Alhamisi, 6 Oktoba 2016

Waziri Ndalichako awatimua Chuo walimu wa mafunzo waliompiga mwanafunzi Mbeya

Posted by Esta Malibiche on Oct6.2016 in NEWS

Hatimaye Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Ndalichako amewafukuza chuo walimu waliohusika na kumpiga mwanafunzi wa kidato cha tatu wa shule ya kutwa Mbeya.

Mpaka sasa Mkuu wa Shule na baadhi ya walimu wamefikishwa katika kituo cha polisi kwa mahojiano kuhusiana na tukio hilo.

Chanzo: TBC, habari za mikoani

0 maoni:

Chapisha Maoni