Posted by Esta Malibiche on Oct7.2016 in NEWS
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Jiolojia Tanzania (GST) Prof. Abdulkarim Mruma (aliyeshika panga)
akitoa ufafanuzi juu ya uvumi kuwepo volcano leo katika eneo la
Katarabuga, kata ya Bwanjai wilaya ya Misenyi. Eneo la mbele
waliposimama wananchi na viongozi lililoungua ndio limeungua moto na
kusadikiwa kuwa ni volcano hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa
Jioloji badala yake ulikuwa huo moto kawaida. Eneo la mbele waliposimama
wananchi na viongozi lililoungua ndio lilisadikiwa kuwa ni volcano
hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa Jioloji badala yake ulikua
ni moto wa kawaida.
Wananchi wakiwa katika eneo la
Katarabuga, kata ya Bwanjai wilaya ya Misenyi ilipodaiwa kuwepo kwa
volcano hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia
Tanzania (GST) Prof. Abdulkarim Mruma badala yake amesema huo ulikuwa ni
moto wa kawaida. Eneo la mbele waliposimama wananchi na viongozi
lililoungua ndio lilisadikiwa kuwa ni volcano hatua ambayo imekanushwa
na Mtendaji Mkuu wa Jioloji badala yake ulikuwa ni moto wa kawaida.
Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa
Wilaya ya Misenyi Luteni Kanali Denis Mwila (aliyevaa koti jeusi) eneo
la Katarabuga, kata ya Bwanjai wilaya ya Misenyi ilipodaiwa kuwepo kwa
volcano hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia
Tanzania (GST) Prof. Abdulkarim Mruma badala yake amesema huo ulikuwa ni
moto wa kawaida.
Baadhi ya viongozi wakiwasili
eneo katika eneo la Katarabuga, kata ya Bwanjai wilaya ya Misenyi
ilipodaiwa kuwepo kwa volcano hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu
wa Jiolojia badala yake huo ulikuwa ni moto wa kawaida.
(Picha na Eleuteri Mangi, MAELEZO, Bukoba)
0 maoni:
Chapisha Maoni