*Asema inasikitisha Maafisa ugani kutofukuzwa kazi wakati mahala pengi hawafanyi kazi. Awataka Wenyeviti wa mabadara ya madiwani walione hilo.
*Aeleza kuwa Serikali inaanza na viwanda vinavyotumi malighafi zitokanazo na kilimo.
* Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla aeleza nia ya kuyafanya maonyesho ya Nane Nane kanda kuwa maonyesho ya SADC, Waziri aridhia mwaka 2017 kufanyika kitaifa Mbeya.
Mhariri Mkuu wa www.mpakani.blogspot.com (kulia), akihojiana na baadhi ya wataalam wa masuala ya usindikaji wa vyakula katika banda ya Manispaa ya Iringa ndani ya viwanja vya maonyesho ya wakulima vya Mwakangale Jijini Mbeya
0 maoni:
Chapisha Maoni