Jumatatu, 29 Agosti 2016

ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MWIGULU NCHEMBA MKOANI ARUSHA














Picha na Festo Sanga

 #ARUSHA na #MANYARA ,
 Makazi,vitendea kazi na maslahi kwa wapiganaji wetu kwa serikali hii ya awamu ya tano tunakwenda kuacha alama.
 ''''Tutatumia nguvu kazi tuliyonayo kuanzia wafungwa wenye sifa ya kufanya kazi,vikosi vya kazi kwenye majeshi na bajeti tunayoipanga kila mwaka kuhakikisha tunapata majawabu ya kudumu'''''alisema Mwigulu






0 maoni:

Chapisha Maoni