Postedy by Esta Mlibiche on August 19.2016
Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii jinsia Wazee na watoto, Mh Ummy Mwalimu akitoa hotuba kwenye
kikao cha uzinduzi wa awamu ya pili ya kukusanya Nguvu za kulinda haki
za wasichana nchini Tanzania leo tarehe 19/8/2016 jijini Dare salaam
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii
jinsia Wazee na watoto, Mh Ummy Mwalimu Akizundua rasmi mpango wa
awamu ya pili ya kukusanya Nguvu za kulinda haki za wasichana nchini
Tanzania leo tarehe 19/8/2016 jijini Dare salaam
Kutoka kushoto Mkurugenzi wa Idara
ya Maendeleo kwa Mtoto Bwana Benedict Missani akiwa pamoja na Bibi
Christine Mwanukuzi Kwayu wakisikiliza kwa makini hotuba inayotolewa na
mgeni Rasmi Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii jinsia Wazee na watoto,
Mh Ummy Mwalimu kwenye kikao cha uzinduzi wa awamu ya pili ya kukusanya
Nguvu za kulinda haki za wasichana nchini Tanzania leo tarehe 19/8/2016
jijini Dare salaam
Waandishi wa habari pamoja na
wadau wa Maendeleo ya Mtoto wakisikiliza kwa makini hotuba inayotolewa
na mgeni Rasmi Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii jinsia Wazee na
watoto, Mh Ummy Mwalimu kwenye kikao cha uzinduzi wa awamu ya pili ya
kukusanya Nguvu za kulinda haki za wasichana nchini Tanzania leo tarehe
19/8/2016 jijini Dare salaam
0 maoni:
Chapisha Maoni