Postedy by Esta Malibiche on AuGUST 17.2016
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akiongea jambo na Balozi
wa Israel Nchini Tanzania Mh. Yahel Vilan alimpomtembelea Waziri
Makamba Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba wakijadiliana jambo na
Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh Yahel Vilan alimpomtembelea Waziri
Makamba Ofisini kwake barabara ya Luthuli jijini Dar es Salaam. Wengine
ni Maafisa toka Wizara ya mambo ya nje waliongozana na Balozi huyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba akisoma Nakala za
machapisho alizopatiwa na Balozi wa Israel Nchini Tanzania Mh . Yahel
Vilan.
0 maoni:
Chapisha Maoni