Jumamosi, 27 Agosti 2016

WAZIRI MWIGULU ATEMBELEA KIWANDA CHA VIATU KATIKA GEREZA LA MKOA WA KILIMANJARO

Postedy by Esta Malibiche on August 27.2016 


 
 Waziri Mwigulu akizungumza na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Meck Sadick mara baada ya kuwasili mkoani humo











 
 KILIMANJARO 
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi,Mwigulu Lamecku Nchemba amefanya ziara katika mkoa wa Kilimanjaro leo na kukutana na jeshi la MagerezaPolidi,uhamiaji na zimaoto 
'''''Leo nimekutana na wapiganaji wetu wa jeshi la polisi,magereza,uhamiaji na zimamoto katika ziara ya kupata hali halisi ya mazingira yao ya kazi na kero zinatotakiwa kupatiwa mjawabu ya kudumu'''''
Mwigulu amesema kuwa  chuo cha polisi Moshi kinatarajia  kujengwa madarasa mengine mawili makubwa ya kisasa kwa msaada kutoka serikali ya China.
   ''''''Vilevile nimetembelea kiwanda cha viatu vya ngozi kilichopo gereza la Karanga-Moshi,tayari mchakato umeanza wa kukipa uwezo wa kutosha kiwanda kiweze kutengeneza viatu vya majeshi yetu yote na baadae taasisi zingine'''''

"Usalama wetu ni jukumu la kila mmoja wetu"














0 maoni:

Chapisha Maoni