Jumamosi, 20 Agosti 2016

MATUKIO KATIKA PICHA ZIARA YA WAZIRI MWIGULU MKOANI MTWARA










MTWARA‬ 
WAZIRI Mwigulu anaendelea na safari ya kukutana,kusikiliza,kuona na kujifunza hali halisi ya changamoto wanazokutana nazo wanajeshi wangazi zote na idara zote za jeshi la polisi,magereza,zimamoto na uhamiaji nchini.
''''Kiu ya serikali hii ya awamu ya tano ni kuzitatua kero hizo kwa majawabu ya kudumu,vilevile kuongeza vitendea kazi ilikuendana na wakati''''
"Usalama wetu,jukumu la kila mmoja wetu"

0 maoni:

Chapisha Maoni