Postedy by Esta Malibicheon August 25.2016 in KITAIFA with No Comment
Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa kuaga miili ya
askari waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na
majambazi .Ibada hiyo ya kuaga ilifanyika katika Viwanja vya Polisi
vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,
Ernest Mangu, akizungumza wakati wa maombolezo na kuaga miili ya askari
waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na
majambazi.Ibada hiyo ya kuaga ilifanyika katika Viwanja vya polisi
vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akipita kutoa heshima za mwisho mbele ya
majeneza yaliyobeba miili ya askari waliouawa baada ya kuvamiwa na
majambazi katika eneo la Mbande, Temeke ,bada hiyo ya kuaga miili
ilifanyika katika viwanja vya polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini
Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu
wa askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la
Mbande, Temeke ibada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika viwanja vya
polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni , akitoa mkono wa pole kwa
mmoja wa ndugu wa askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi
katika eneo la Mbande, Temeke ,ibada hiyo ya kuaga miili ilifanyika
katika Viwanja vya Kambi Kuu ya Polisi iliyopo barabara ya Kilwa,jijini
Dar es Salaam.
Askari wakimsaidia mzazi wa mmoja
wa askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la
Mbande, Temeke, ibada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika viwanja vya
polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.(Picha zote na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
0 maoni:
Chapisha Maoni