Postedy by Esta Malibiche on August 19.2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu
Tercius Ngalalekumtwa kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar
es salaam Agosti 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, Renatus Nkwande
(katikati) na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu
Tercius Ngalekumtwa kabla ya mazungumzo yao , Ofisini kwake jijini Dar
es alam Agosti 18, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu
Tercius Ngalekumtwa (kushoto kwake), Askofu Renatus Nkwande wa Jimbo
Katoliki la Bunda (wapili kulia) na katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu
Tanzania (TEC), Padri Raymond Saba (kulia), Ofisini kwake jijini Dar es
salaam Agosti 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 maoni:
Chapisha Maoni