Ijumaa, 26 Agosti 2016

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA CHINA

Postedy by Esta Malibiche on August 26.2016 in KITAIFA with No Comment

chid1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na Mgeni wake Balozi mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China  anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie XiaowuTek Chand Barupai  alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]26/08/2016.
chid2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akizungumza na Mgeni wake Balozi mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China  anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie XiaowuTek Chand Barupai  alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]26/08/2016.
chid3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akiagana na Mgeni wake Balozi mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China  anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie XiaowuTek Chand Barupai  alipofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya  mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.]26/08/2016.

0 maoni:

Chapisha Maoni