Alhamisi, 25 Agosti 2016

WAJUMBE WA BODI STAMICO WATEMBELEA MGODI WA TANZANITEONE

Postedy by Esta Malibiche on August 25 .2016 in News

????????????????????????????????????
Wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa shirika la madini nchini (STAMICO) wakiwa na baadhi ya watumishi wa kampuni ya TanzaniteOne na STAMICO walipotembelea mgodi wanaoumiliki kwa ubia na kampuni hiyo uliopo mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.
COL2
Wajumbe wa bodi ya shirika la madini nchini (STAMICO) wakiwa na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Balozi Alexiander Muganda, (mwenye nguo ya rangi ya buluu) baada ya kutembelea mgodi wanaoumiki kwa ubia na kampuni ya TanzaniteOne uliopo mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.
????????????????????????????????????
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la madini nchini (STAMICO) Zena Kongoi akizungumza na waandishi wa habari,  kwenye mgodi wanaoumiliki kwa ubia na kampuni ya TanzaniteOne.
COL4
Wajumbe bodi ya STAMICO wakipanda scip kwa ajili ya kuingia kwenye mgodi wa madini ya Tanzanite uitwao CT.

0 maoni:

Chapisha Maoni