Jumanne, 30 Agosti 2016

Kampeni ya miaka 25 ya Whitedent yazinduliwa Zanzibar

Postedy by Esta Malibiche on August 30.2016 in BIASHARA with No Comment


mj1
Mkuu wa mkoa mjini magharibi Mh. Ayoub Mohammed Mahmoud akifunga moja ya magari yanayoshindaniwa kwenye bahati nasibu ya Whitedent ambayo magari 25 yatashindaniwa nchini.
mj2
Bw. Devanshu akiweka pakti ya dawa ya meno ya Whitedent katika moja ya magari yanayoshindaniwa kwenye bahati nasibu ya kutimiza miaka 25 ya bidhaa hiyo nchini.
mj3
Mkuu wa mkoa mjini magharibi Bw. Ayoub Mohammed Mahmoud akikata keki kuadhimisha miaka 25 ya Whitedent nchini Tanzania, kule Unguja Zanzibar.   Akiwa na Brand Manager wa Whitedent Bw. Devanshu pamoja na wegeni wengine.
mj4
mj5
Whitedent Brand Manager Mr Devanshu akiwa na mgeni rasmi, Mkuu wa mkoa mjini Magharib Mr Ayoub Mohammed Mahmoud katika uzinduzi wa shindano la bahati nasibu ya kutimiza miaka 25 ya Whitedent Tanzania. Hafla hiyo ilifanyika katika wanja wa Malindi mjini Ungunja Jumapili hii.

0 maoni:

Chapisha Maoni