Mkuu wa Wakurugenzi wa Kampuni ya
Alarko kutoka nchini Uturuki Bw. Izzet Garih (wa kwanza kushoto)
akizungumzia kuhusu ushirikiano baina ya kampuni hiyo na sekta ya
mawasiliano, na (wa kwanza kulia) ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin
Kamuzora.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Simu Tanzania (TTCL) Dkt. Kamugisha Kazaura akizungumza wakati wa
kikao cha Ushirikiano baina Sekta ya Mawasiliano na Kampuni ya Alarko.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin
Kamuzora akiwa katika picha ya pamoja na Wakurugenzi wa Kampuni ya
Alarko kutoka nchini Uturuki Bw. Izzet Garih
0 maoni:
Chapisha Maoni