Postedy by Esta Malibiche on August 25.2016 in News
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani nchini ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa kikao
cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani ,
ambao ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la
kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani.
Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani, wakiongozwa na Mwenyekiti wa baraza ambae pia ni
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni(katikati), katika kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa
Kudhibiti Ajali za Barabarani , ambao ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa
mwezi wa nane,ukiwa na lengo la kupunguza ajali kwa asilimia kumi
ifikapo mwezi Februari, mwakani.Wa kwanza mkono wa kulia kwa Naibu
Waziri ni Katibu Mtendaji wa baraza ambae pia ni Kamanda wa Kikosi
cha Usalama Barabarani , Mohamed Mpinga. Kikao kilifanyika katika
ukumbi wa wizara,jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani, ASP Deus Sokoni, akizungumza wakati wa kikao cha
kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani, ambao
ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la
kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani.
Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es Salaam.(Picha
zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Mjumbe wa Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani, Henry Bantu, akizungumza wakati wa kikao cha
kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani , ambao
ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la
kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani.
Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar es Salaam.
0 maoni:
Chapisha Maoni