Postedy by Esta Malibiche on August 23.2016 in KITAIFA with No Comment
|
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba(kushoto), akimsikiliza Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing (katikati),
wakati wa mazungumzo juu ya masuala ya ushirikiano
katika sekta ya ulinzi na usalama kati
ya Tanzania na China, Kulia ni Msaidizi wa Balozi, Wang Fang. Mazungumzo hayo
yalifanyika leo,jijini Dar es Salaam.
|
|
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba(katikati), akiangalia vipengele mbalimbali vinavyohusu ushirikiano juu
ya masuala ya ulinzi na usalama, wakati wa mazungumzo yaliyomhusisha Balozi wa
China nchini Tanzania, Dkt. Lu Youqing(kulia). Kushoto ni Mwakilishi Mkazi wa
Jamhuri ya Watu wa China, Lin Zhiyong. Mazungumzo hayo yalifanyika leo,jijini
Dar es Salaam.
|
|
Mwakilishi Mkazi wa Jamhuri ya Watu wa China, Lin
Zhiyong(kulia), Msaidizi wa Balozi wa China nchini Tanzania, AI Zhuan(katikati)
na Katibu wa Balozi, Dong Zhenyu(kushoto), wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba(hayupo pichani), wakati wa mazungumzo juu ya masuala ya ushirikiano katika sekta ya ulinzi
na usalama kati ya Tanzania na China. Mazungumzo
hayo yalifanyika leo, jijini Dar es Salaam.
|
|
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba(katikati), akiagana na Mwakilishi Mkazi wa Jamhuri ya Watu wa China,
Lin Zhiyong, mara baada ya kumaliza mazungumzo juu ya masuala ya ushirikiano katika sekta ya ulinzi
na usalama kati ya Tanzania na China. Kulia
ni Balozi wa China nchini Tanzania, Dkt. Lu Youqing. Mazungumzo hayo
yalifanyika leo, jijini Dar es Salaam. |
|
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba(kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China nchini
Tanzania, Dkt. Lu Youqing, mara baada ya kumaliza mazungumzo juu ya masuala ya ushirikiano katika sekta ya ulinzi
na usalama kati ya Tanzania na China. Mazungumzo
hayo yalifanyika leo, jijini Dar es Salaam.
|
0 maoni:
Chapisha Maoni