Jumatano, 17 Agosti 2016

KISOMO CHA KHITMA,DUA YA KUMUOMBEA MZEE ABOUD JUMBE

Postedy by Esta Malibiche on August 17.2016

kis1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi na waumini wa Dini ya kiislamuwakisoma Khitma ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe Shauri Mjini Unguja leo jioni,[Picha na Ikulu.]17/08/2016.
kis2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) pamoja na Viongozi na waumini wa Dini ya kiislamu wakisoma Khitma ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe Shauri Mjini Unguja leo jioni,[Picha na Ikulu.]17/08/2016.
kis3
Viongozi mbali mbali waliojumuika katika Kisomo cha Dua ya Khitma ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe Shauri Mjini Unguja leo jioni,[Picha na Ikulu.]17/08/2016.
kis4
Miongoni mwa Waumini wa Dini ya Kiislamu walioshiriki katika msikiti wa Mushwawal Mwembe Shauri Mjini Unguja wakisoma dua ya Khitma leo ya kumuonbea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi aliyezikwa juzi nyumbani kwake Migombani,[Picha na Ikulu.]17/08/2016.
kis5
Mustafa Aboud Jumbe Mwinyi  akitoa shukurani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  pamoja na Viongozi na Wananchi na waislamu walioshiriki katika Khitmaya Dua ya kumuombea  Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi,Iliyosomwa leo katika Msikiti wa Mushawala Mwembe shauri Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]17/08/2016.

0 maoni:

Chapisha Maoni