Postedy by Esta Malibiche on August 25.2016
Mkuu
wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthon Mtaka akizungumza na Maafisa Elimu na
Viongozi wa CWT wa Mkoa huo katika kikao maalum cha kutoa ufafanuzi wa
agizo lililotolewwa na Serikali Mkoani humo la kufanya mabadiliko ya
Walimu wakuu na Waratibu Elimu kata, ambalo liliripotiwa tofauti katika
vyombo ya habari na mitandao ya kijamii. kuwa Serikali imetangaza
kuwavua madaraka.
Baadhi
ya Wajumbe wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (hayupo pichani) katika
kikao maalum cha kutoa ufafanuzi wa agizo lililotolewa na Serikali
Mkoani humo la kufanya mabadiliko ya Walimu wakuu na Waratibu Elimu
kata, ambalo liliripotiwa tofauti katika vyombo ya habari na mitandao ya
kijamii. kuwa Serikali imetangaza kuwavua madaraka,
Katibu
wa CWT Mkoa wa Simiyu, Said Mselema(kulia) akizungumza na Maafisa
Elimu na Viongozi wa CWT wa Mkoa huo (hawapo pichani) katika kikao
maalum cha kutoa ufafanuzi wa agizo lililotolewa na Serikali Mkoani humo
la kufanya mabadiliko ya Walimu wakuu na Waratibu Elimu kata, ambalo
liliripotiwa tofauti katika vyombo ya habari na mitandao ya kijamii,
kuwa Serikali imetangaza kuwavua madaraka.
Baadhi ya Wajumbe wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (hayupo pichani) wa kikao maalum cha kutoa ufafanuzi wa agizo lililotolewwa na Serikali Mkoani humo la kufanya mabadiliko ya Walimu wakuu na Waratibu Elimu kata, ambalo liliripotiwa tofauti katika vyombo ya habari na mitandao ya kijamii. kuwa Serikali imetangaza kuwavua madaraka.
Katibu
Tawala Mkoa wa Simiyu, Jumanne Sagini akizungumza na Maafisa Elimu na
Viongozi wa CWT wa Mkoa huo (hawapo pichani) katika kikao maalum cha
kutoa ufafanuzi wa agizo lililotolewa na Serikali Mkoani humo la kufanya
mabadiliko ya Walimu wakuu na Waratibu Elimu kata, ambalo liliripotiwa
tofauti katika vyombo ya habari na mitandao ya kijamii, kuwa Serikali
imetangaza kuwavua madaraka.
0 maoni:
Chapisha Maoni