Waziri wa Nchi ofisi ya Rais
Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki akizungumza wakati wa
uzinduzi wa warsha ya kujadili rasimu ya Taarifa ya Utafiti kuhusu hali
ya maadili ya viongozi wa umma nchini leo Jijini Dar es Salaam. Warsha
hiyo imeratibiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
Kamishina wa Sekretarieti ya
Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda akizungumza
wakati wa uzinduzi wa warsha ya kujadili rasimu ya Taarifa ya Utafiti
kuhusu hali ya maadili ya viongozi wa umma nchini leo Jijini Dar es
Salaam. Warsha hiyo imeratibiwa na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi
wa Umma.Kutoka kulia ni Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Utumishi na Utawala
Bora Mhe. Angela Kairuki na Profesa John Kessy kutoka Chuo Kikuu cha
Kilimo (SUA) ambaye ndiye aliyefanikisha utafiti huo.
Katibu wa Maadili ya Viongozi –
Siasa, Waziri Kipacha akielezea jambo wakati wa warsha ya kujadili
rasimu ya Taarifa ya Utafiti kuhusu hali ya maadili ya viongozi wa umma
nchini leo Jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo imeratibiwa na Sekretarieti
ya Maadili ya Viongozi wa Umma.Kutoka kulia ni Kamishina wa
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora
Mhe. Angela Kairuki na Profesa John Kessy kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo
(SUA) ambaye ndiye aliyefanikisha utafiti huo.
Profesa John Kessy kutoka Chuo
Kikuu cha Kilimo (SUA) akiwasilisha rasimu ya Taarifa ya Utafiti kuhusu
hali ya maadili ya viongozi wa umma katika warsha iliyoandaliwa na
Sekrtetarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais
Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki (wapili kutoka kulia) na
Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu
Salome Kaganda (kushoto) wakifuatilia uwasilishwaji wa rasimu ya Taarifa
ya Utafiti kuhusu hali ya maadili ya viongozi wa umma nchini katika
warsha warsha ya kujadili rasimu hiyo leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa warsha ya
kujadili Taarifa ya rasimu ya Utafiti kuhusu hali ya maadili ya viongozi
wa umma nchini wakifuatilia uwasilishwaji wa rasimu hiyo leo Jijini Dar
es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Phillip Mangula akiteta jambo na Kaimu Mwenyekiti wa
Chama cha Wananchi – CUF Twaha Tasrima walipokuta katika warsha ya
kujadili Taarifa ya rasimu ya Utafiti kuhusu hali ya maadili ya viongozi
wa umma nchini leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais
Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya viongozi wa Dini pamoja na Vyama vya Siasa nchini
mara baada ya uzinduzi wa warsha ya kujadili rasimu ya Taarifa ya
Utafiti kuhusu hali ya maadili ya viongozi wa umma nchini leo Jijini Dar
es Salaam.Kutoka kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi – CUF
Twaha Tasrima, : Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa
Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) Phillip Mangula
Picha na Frank Shija, MAELEZO.
0 maoni:
Chapisha Maoni