 |
| Mkurugenzi
wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles akitoa hotuba yake wakati wa
ufunguzi wa duka jipya la TIgo wilayani Handeni mkoani Tanga kulia
kwake ni Mkuu wa willaya ya Handeni mhe. Halima Rajab Msangi uzinduzi huo umefanyika mapema wiki wilayani Handeni. |
 |
| Mkuu
wa wilaya ya Handeni Mhe. Halima Rajab Msangi (wa pili kulia) akikata
utepe kuzindua duka jipya la Tigo wilayani humo. Wengine mkurugenzi wa
Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles(wa pili kushoto), Meneja huduma
kwa wateja kanda ya Pwani, Isaack Shoo (kulia) na Msimamizi wa Duka la
Tigo Handeni, Zuhuru Omary. uzinduzi huo umefanyika mapema wiki wilayani Handeni. |
 |
| Meneja
huduma kwa wateja kanda ya Pwani, Isaack Shoo akitoa maelezo kuhusu
simu zinazouzwa katika duka jipya la Handeni kwa mgeni rasmi Mkuu wa wilaya ya Handeni Mhe. Halima Rajab Msangi anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles uzinduzi huo umefanyika mapema wiki wilayani Handeni mkoani Tanga. |
Mkuu wa willaya ya Handeni Mhe. Halima Rajab Msangi akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi
wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles na wafanyakazi wa Tigo wa duka
la Handeni mara baada ya uzinduzi uliofanyika mapema ya wiki wilayani
Handeni mkoani Tanga.
0 maoni:
Chapisha Maoni