Ofisa
Ufutiliaji na Tathmini wa Shirika la Eguality for Growth (EfG), Shabani
Lulimbeye, akizungumza na wadau mbalimbali kuhusu vitendendo vya
ukatili wa kijinsia katika Tamasha lililofanyika leo asubuhi viwanja vya
Soko la Mchikichini Ilala jijini Dar es Salaam.
Mfanyabiashara katika soko hilo, Suleiman Azizi akichangia jambo kuhusu ukatili wa kijinsia katika soko hilo.
Kikundi
cha Sanaa cha Machozi cha Temeke jijini Dar es Salaam kikihamasisha
wananchi kuacha vitendo vya ukatili wa kijinsia masokoni katika Tamasha
hilo.
Wafanyabiashara ndogo ndogo katika soko hilo wakifuatilia tamasha hilo.
Wasaidizi wa kisheria katika soko hilo wakiwa kwenye tamasha hilo. Kulia ni Zainab Namajojo na Mechi Mtindi.
Wasanii wa kundi la Machozi wakila wakati wakiigiza igizo la kupinga ukatili wa kijinsia.
Raia wa kigeni ambao wanafanyakazi ya kujitolea katika Shirika la EfG wakiwa kwenye tamasha hilo.
Taswira katika tamasha hilo.
Wasanii wa Kundi la Machozi wakionesha igizo la ukatili wa jinsia masokoni.






0 maoni:
Chapisha Maoni