Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mathias Meinrad Chikawe
kuwa Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Magufuli akimpongeza Mathias Meinrad Chikawe mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi Mpya wa Tanzania nchini Japani
Balozi mpya wa Tanzania nchini
Japan Mathias Chikawe akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuamuapisha Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais Dkt. Magufuli akiwa katika
picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mathias Chikawe
pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi Ikulu jijini
Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
0 maoni:
Chapisha Maoni