Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akihutubia Viongozi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam wakati
wa ufungaji wa maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya kitivo cha Sayansi
cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo
kikuu Mlimani.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akimkabidhi zawadi maalum Atibele Biyamungu mshindi wa kwanza kwenye
Shindano la kuandika ESE katika maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya
kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo
April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan, akimkabidhi cheti Lulu Kaaya mmoja kati ya washiriki wa
mashindano ya aina mbalimbali ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya
kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa leo
April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akipata maelezo juu ya utendenezajia wa sabuni na bidhaa za aina
mbalimbali alipotembelea maonesho ya maadhimisho ya sherehe za miaka 50
ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam yaliyoadhimishwa
leo April 01,2016 Chuo kikuu Mlimani.

katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na wanafunzi wa Chuo
Kikuu cha Dar es salaa wakati wa ufungaji wa maadhimisho ya sherehe za
miaka 50 ya kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam
yaliyoadhimishwa leo April 01,2016 Chuo kikuu mlimani
0 maoni:
Chapisha Maoni