Jumanne, 4 Oktoba 2016

MAJALIWA AKUTANA NA MBUNGE WA MSALALA NA MADIWANI WAKE Inbox x


Posted by Esta Malibiche on Oct4.2016 in SIASA
msal1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige  (wapili kulia), Ofisini kwake  mjini Dodoma Oktoba 3, 2016. Kushoto ni makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Msalala, Benedicto Manuari (kushoto) na Diwani wa Kata ya Isaka, Gerlard Mwanzia. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu)
msal2

0 maoni:

Chapisha Maoni