Postedy by Esta Malibiche On August 1.2016
Mhashamu Baba Askofu Titus Mdoe akiongoza maandamano katika viwanja vya Msimbazi tayari kwa kuanza Ibada ya Misa Takatifu |
| ||
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akisalimiana na viongozi wa Radio Maria Tanzania
Maadhimisho ya kilele cha miaka 20 ya Radio Maria Tanzania yaliyofanyika jana 31/6/206 katika viwanja vya msimbazi center jimbo kuu katoliki la Dar es Salaam yalihudhuriwa na wageni mbalimbali akiwemo Baba mwadhama Polycarp Kardnali Pengo ambae ni Askofu Mkuu Jimbo Kuu katoliki la Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa awamu ya nne ambae pia ni mlezi wa Radio Maria Tanzazia Benjamin Mkapa.Misa takatifu iliongozwa na Baba askofu Titus Mdoe ambae ni askofu wa Jimbo katoliki la Mtwara na Mgeni Rasmi Katika kilele hicho alikuwa Speeka mstaafu wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzazia Mama Anna Makinda

0 maoni:
Chapisha Maoni