Postedy by Esta Malibiche on August 17.2016 in KITAIFA with No comment
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na watumishi wa Ofisi yake kuhusu utaratibu wa kuhamia
Dodoma kwenye ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam Agost 17, 29016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na watumishi wa Ofisi yake kuhusu utaratibu wa kuhamia
Dodoma kwenye ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam Agost 17, 29016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya
Waziri Mkuu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza nao kuhusu utaratibu wa kuhamia Dodoma kwenye ukumbi wa
Ikulu jijini Dar es salaam, Agost 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri
Mkuu (Kazi, Ajira na Vijana), Anthony Mavunde akizungumza katika Mkutano
wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Agost 17, 2016 kuhusu Utaratibu wa kuhamia Dodoma. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Taasisi zilizoko chini ya
Ofisi yake baada ya kuzungumza na watumishi wa Ofisi yake kwenye ukumbi
wa Ikulu jijini Dar es salaam, Agost 17, 2016. Kushoto kwake ni Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira na
Walemavu, Jenista Mhagama , Wapili kulia kwake ni Naibu Waziri Ofisi
ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde na kushoto kwake
ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Abdallah
Possi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu
baada ya kuzungumza nao kwenye ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam
Agost 17, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri
Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama,
Wapili kulia kwake ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira
na Vijana, Anthony Mavunde na kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Abdallah Possi.(Picha na ofisi ya Waziri

0 maoni:
Chapisha Maoni